|
|
PHOTO GALLERY
 |
 |
Mkurugenzi wa Utafiti wa Uzalishaji Misitu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano, Dkt. Siima Bakengesa akitoa majumuisho ya maoni yaliyotolewa na wadau katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi wa Viwanda lililofanyika Februari 23 hadi Februari 25, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.
|
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Dkt. Revocatus Mushumbusi akitoa neno la shukran kwa washiriki waliofika katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi wa Viwanda lililofanyika Februari 23 hadi Februari 25, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. |
 |
 |
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Dkt. Felician Kilahama, akitoa neno la shukran kwa washiriki waliofika katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi wa Viwanda lililofanyika Februari 23 hadi Februari 25, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. |
Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa (akiwa amemuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki) akizungumza na washiriki waliofika katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi wa Viwanda lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es salaam Februari 23 hadi Februari 25, 2021. |

|

|
Tukio la utoaji zawadi za shukrani kwa Wizara ya Maliasili na Utalii (MNRT) na Programu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani ya Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi wa Viwanda lililofanyika Februari 23 hadi Februari 25, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.
|
|
|
To be a centre of excellence in forestry research, technology development and dissemination of forestry related scientific information in Tanzania. |
|
To conduct, coordinate and regulate forestry research, disseminate scientific information and technologies for sustainable development of forest and allied natural resources. |
|
|